Zanzibar News logo Zanzibar News

Zanzibar News

by JCB MEDIA

🆓 free

Version 1.0
📅 Updated 2016-12-06

4.9/5 ( 646+ reviews)
Android application Zanzibar News screenshort

Features Zanzibar News

Zanzibar News inakusogezea karibu habri zote kubwa kuhusu Siasa za Zanzibar sanjari na kukupa suluhisho la kiu ya Habari zilizoandikwa kwa kina na umahiri kutoka katika wavuti kubwa za Habari Zanzibar na Tanzania Bara.Kupitia App hii utafanikuwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kupata Habari mpasuko moja kwa moja kupitia simu yako,habari picha na sauti bila kusahau video za kuelimisha .
Ifanye App ya Zanzibar News kuwa chanzo chako cha habari za kila siku kwa kuidownload ,kurate na kuishare kwa jamaa zako kadri uwezavyo ili nao wafurahie kuhabarika na habari za kina za Kisiasa,kijamii,kiuchumi,michezo na Burudani.
Asante kwa kuichagua Zanzibar News

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the Zanzibar News in Action

Zanzibar News Screen 1
Zanzibar News Screen 2
Zanzibar News Screen 3
Zanzibar News Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above